CHUPA MPYA YA REDDS KUONEKANA SOKONI!!

Brand Manager wa bia ya Redds Preimum Cold inayozalishwa na kampuni ya bia nchini TBL Kabula Nshimo akizungumza wakati wa uzinduzi wa chupa pya ya bia hiyo yenye ujazo wa ml 375 ambayp itaanza kutumika kwenye soko uzinduzi huo uliofanyika maalum kwa ajili ya wafanyakazi wa kampuni hiyo ulifanyika jana jioni katika kiwanda hicho ukihusisha onyesho la mavazi, ambapo wanamitindo na wafanyakazi wa TBL walipita jukwaani kwa kuonyesha mavazi mbalimbali yaliyobuniwa na mbunifu Asia Idarous, huku zawadi mbalimbali zikitolewa kwa washindi wa michezo mbalimbal;i iliyofanyika katika uzinduzi huo.



Wafanyakazi mbalimbali wa TBL wakionyesha mavazi yaliyobuniwa na mbunifu Asia Idarous wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya bia ya Redds jana jioni.

Brand Manager wa Redds Kabula Nshimo akitoa maelekezo kwa wanamitindo kabla ya kupanda jukwaani kwa ajili ya kuonyesha mavazi yaliyobuniwa na mbunifu Asia Idaruos katika uzinduzi wa chupa mpya ya bia ya Redds jana jioni kiwandani hapo.

Meneja Masoko wa kampuni ya bia TBL David Minja kushoto akijadiliana jambo na brand maager wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe.

Wafanyakazi wa vitengo kampuni ya bia ya TBL mbalimbali walikuwepo kwenye uzinduzi huo

(Brand Manager) wa bia ya Ndovu Oscar Shelukindo na wenzake wakifuatilia kwa makini kila kilichokuwa kikiendelea katika uzinduzi huo.
Wafanyakazi mbalimbali wa TBL wakiwa katika uzinduzi wa chupa mpya ya Redds Premium Cold huo uliofanyika kiwandani hapo.

Meneja Masoko wa TDL Martha wa pili kutoka kulia akiwa na wafanyakazi wenzake wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya bia ya Redds yenye ujazo wa mkubwa zaidi wa ml 375 uliofanyika jana jioni kiwandani hapo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment