Wakina mama wafanyabiashara ndogondogo wanaouza Matunda aina ya zabibu jana asubuhi katika Stendi Kuu ya Dodoma, walionekana wakiwa wanasubiri wateja ili kujipatia angalau fedha za kujikimu kimaisha. Wakimama hao ambao hawakutaka kutaja majina yao wameiomba Serikali kuwasaidia kupata soko la uhakika kwa ajili kuuza matunda yao.
Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO- DODOMA
Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO- DODOMA
0 comments:
Post a Comment