Bia Tanzania (TBL), Maneno Mbegu (kushoto)
akimkabidhi Ofisa Elimu Vielelezo Manispaa ya
Ilala, Dar es Salaam, Amina Maulid, msaada wa
madawati 120 yenye thamani ya sh. milioni 9.6 kwa
ajili ya Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni.
Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika
shuleni hapo juzi, ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo,
Salum Mtolela.
Kajiungeni, Dar es Salaam, wakifurahia kupokea
msaada wa madawati 120 yenye thamani ya sh.
milioni 9.6 uliotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), katika hafla iliyofanyika shuleni hapo juzi.
Katikati ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa
TBL, Maneno Mbegu.





0 comments:
Post a Comment