Dhumuni ni kuwasaidia wanafunzi walemavu, yatima, walikosa mikopo na wasioweza kumalizia kiasi kilichosalia kufikia asilimia100 kwenye ada inayotakiwa.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa chuo hicho, Hodrum Suleiman Benedict, wameamua kufanya hivyo ili kuhakiksha kuwa wanazikabili zile changamoto zinazowakabili wanafunzi wakati wa kipindi cha masomo.
Aidha, chuo kinachukua fursa kuwatarifu na kuwwalika Watanzania wote kushiriki katika uzinduzi huo wa mfuko wa Elimu ili kuiunga mkono serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Jakaya Kikwete katika kuinua kiwango cha Elimu nchini kushoto ni Karimu Meshack Afisa Uhusiano.





0 comments:
Post a Comment