Katibu Mkuu wa Chama Cha Wafanyakazi wa Bandari Tanzania (DOWUTA) Bw. Abdalla Kibunda (kushoto) akipeana mkono wa pongezi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kuhudumia Makontena Bandarini (TICTS), Bw. Neville Bissett mara tu baada ya kutiliana saini mkataba wa ‘Hali Bora kwa Wafanyakazi’ kwenye bandari ya Dar leo. Mkataba huo una lengo la kuboresha maslahi ya wafanyakazi kwenye bandari ya Dar es salaam (Picha: Hisani ya Executive Solutions)DOWUTA WATILIANA SAINI NA TICTIS JUU YA UBORESHAJI WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI!!
Posted by
ADMIN
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wafanyakazi wa Bandari Tanzania (DOWUTA) Bw. Abdalla Kibunda (kushoto) akipeana mkono wa pongezi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kuhudumia Makontena Bandarini (TICTS), Bw. Neville Bissett mara tu baada ya kutiliana saini mkataba wa ‘Hali Bora kwa Wafanyakazi’ kwenye bandari ya Dar leo. Mkataba huo una lengo la kuboresha maslahi ya wafanyakazi kwenye bandari ya Dar es salaam (Picha: Hisani ya Executive Solutions)You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment