Timu ya Taifa ya Misri
Timu ya Taifa ya Algeria.Vikosi vya usalama vimepelekwa kuulinda ubalozi wa Misri mjini Algiers baada ya biashara za raia wa Misri kushambulia mjini humo.
Maafisa wa shirika la ndege la Misri- Egypt Air na wale wa kampuni ya simu ya Misri wamesema walishambuliwa Jumapili wakati wa maandamano ya kuiunga mkono timu ya taifa ya soka la Algeria.
Maelfu ya watu wamekusanyika wakiwa na matumaini ya kununua tikiti za ndege kuelekea Sudan kwa ajili ya mchezo wa marudio baina ya Algeria na Misri siku ya Jumatano.
Mchezo huo wa siku ya Jumatano ndio utaamua nchi ipi kati ya hizo mbili itafuzu kucheza Kombe la Dunia Afrika Kusini mwaka 2010. habari na

BBCSWAHILI.com

1 comments:
Upumbavu wa waarabu wanangombana kwa ajili ya mpira noma sana hawana hata aibu.
Post a Comment