Meneja Uhusiano wa Serengeti Breweriers Teddy Mapunda akiweka saini kwenye gari aina ya Mitsubishi pajero linalotarajiwa kutolewa kwa mshindi wa bahati nasibu mashabiki wa Fiesta One Love itakayofanyika sambamba na tamasha hilo litakalofanyika kwenye viwanja vya posta Kijitonyama, mashabiki watapata nafasi ya kushiriki katika bahati nasibu hiyo kutokana na tiketi zao walizokata ili kuingia kwenye tamasha hilo ambapo wasanii mbalimbali watatoa burudani kutoka hapa nchini na nje ya nchi akiwemo mkali wa Hiphop kutoka nchini Marekani Busta Rymes, kweli hii ni Fiesta one Love mdau.
Meneja Matukio na Promosheni wa Serengeti Breweriers Bahati Singh naye alipata nafasi ya kuweka saini katika gari hilo.
Mwandishi wa habari Kambi Mbwana kutoka New Habari Cooparation 2006 akiongoza waandishi wenzake wakati wa kuweka saini zao kwenye gari dogo aina ya Mitsubish pajero litakaloshindaniwa na namshabiki wa Fiesta One Love katika bahati nasibu itakayofanyika wakati wa Tamasha hilo kubwa nchini litakalofanyika jumamosi kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama.

0 comments:
Post a Comment