White party Bangalore kwa Watanzania na Waafrika wengine wa India!!

Hii ni habari njema kwa watanzania na waafrica wote waliopo india.Ujumbe ni kuwa wote tutakutana pamoja ndani ya party ambayo haijawai kuwa na mfano yenye jina white party ambayo ni dress code.wenye nguo nyeupe tu kuonyesha upendo na mshikamano kwa waafrica na watanzania wenzeti.wako mtanzania mmojawapo wa waandaaji na mfuatiliaji wa blogyako.shadrack bangalore

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment