TUSIMAME NA KUUPIGA VITA UMASIKINI JAMANI!!

Katibu mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wasioona Tanzania Bw. Felician Mkude ambaye ana ulemavu wa macho, akiongea mbele ya waandishi wa habari kwenye ukumbi wa idara ya habari maelezo leo wakati akizungumzia kampeni ya "Simama na chukua hatua dhidi ya umaskini" iliyofanyika kati ya tarehe 16-18 katika nchi nzima, katika kuiunga mkono serikali kuupiga vita umaskini na kufikia malengo ya milenia ifikapo mwaka 2015, wanaofuatia katika picha ni Mussa Billegeya Mratibu wa Kampeni na Ms. Martina KabisamaMwenyekiti wa kampeni hiyo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment