MASHABIKI WANASEMA BILA FULL KUINAMA TAARAB HAIKUFAI!!

Shabiki wa Bendi ya taarab ya Five Star Molden Taarab jina lake halikupatikana mara moja akijinyonga vilivyo wakati bendi hiyo ilipofanya onyesho lake usiku wa kuamkia leo huko Mtoni kwa Azizi Ally katika ukumbi wa Equator Grill.
Waimbaji wa kundi la Taarab la Five Star Molden Taarab wakiimba wakati wa onyesho lao lililofanyika jana kwenye ukumbi wa Equator Grill Mtoni kwa Azizi Ally, kundi hilo limeanzishwa hivi karibuni lakini lieleta upinzania mkubwa kwa makundi mengine ya taarab kutokana na umahiri wa waimbaji wake ambao wengi wao wanatoka katika makundi mbalimbal;i ya taarab jijini Dar na Zanzibar.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment