
Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Algeria hapa nchini Bwana Abdelmoun AAM Ahriz kufuatia kumaliza muda wake wa kuiwakilisha nchi yake hapa Tanzania walipokutana Ikulu leo. Sambamba na Balozi wa Algeria Dk Shein pia aliagana na Balozi wa Iran bwana Mohsin Movahhedi Ghomi.

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Algeria hapa nchini Bwana bwana Abdelmoun AAM Ahriz kufuatia kumaliza muda wake wa kuiwakilisha nchi yake hapa Tanzania walipokutana Ikulu leo. Sambamba na Balozi wa Algeria Dk Shein pia aliagana na Balozi wa Iran bwana Mohsin Movahhedi Ghomi.
0 comments:
Post a Comment