Fiesta mwanza ilikuwa funika bovu!!

Baby Madaha akicheza na kuimba jukwaani
Joe Makini akikamua ndani ya tamasha la fiesta one love 2009,mbele ya wakazi wa mwanza ambao walifurika kwa wingi uwanjani hapo

Chid Benzi kutoka kundi Familia akiimba mbele ya umati mkubwa wa kazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kuwashuhudia wasanii wa kizazi katika uwanja wa ccm kirumba leo mchana kwenye tamasha la fiesta one love



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment