Waziri Mkuu Mizengo Pinda na ujumbe wake akikagua kilimo cha umwagiaji!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wake akikagua sikimu ya umwagiaji katika shamba la mpunga la Ciberes, Sukamandi nchini Indonesia akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo, Septemba 11,2009.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment