WAZIRI MKUU AKIZUNGUMZA NA KIONGOZI WA JIMBO LA GUJARAT INDIA!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Kiongozi wa Jimbo la Gujarat nchini India, Narendra Modi kwenye hoteli ya Gateway katika jimbo hilo, jana wakati wa ziara yake nchini humo. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment