Mkurugenzi wa Taasisi ya kupambana na ukimwi kwa vijana TAYOA Peter Masika kulia akimkabidhi cheti Mwandishi wa habari Gloria Michael kutoka Gazeti la Jambo Leo baada ya kuchangia vizuri mada iliyohusu vijana kubadili tabia katika kupambana na maambukizi ya ukimwi wakati wa semina ya ukimwi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Malelezo leo amba imeshirikisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali, kampeni hiyo imepewa jina la Kaka Badili Tabia na ni maandalizi ya maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yanayofanyika Desemba 1 kila mwaka. MWANDISHI WA HABARI ALAMBA TUZO YA TAYOA!!
Posted by
ADMIN
Mkurugenzi wa Taasisi ya kupambana na ukimwi kwa vijana TAYOA Peter Masika kulia akimkabidhi cheti Mwandishi wa habari Gloria Michael kutoka Gazeti la Jambo Leo baada ya kuchangia vizuri mada iliyohusu vijana kubadili tabia katika kupambana na maambukizi ya ukimwi wakati wa semina ya ukimwi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Malelezo leo amba imeshirikisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali, kampeni hiyo imepewa jina la Kaka Badili Tabia na ni maandalizi ya maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yanayofanyika Desemba 1 kila mwaka. You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment