MOHAMED MPAKANJIA AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema aliyekuwa mume wa Amina Chifupa Meddy Mpakanjia amefariki dunia muda si mrefu baada ya kuugua kwa muda habari zimeenea jijini na kumekuwepo na mawasiliano mbalimbali ya ujumbe wa maneno kwa njia ya simu unaotumwa kwa wadau mbalimbali
Inasemekana Mohamed Mpakania amefia katika Hospitali ya Lugalo alikokuwa amelazwa kwa matibabu
Habari zaidi zitawajia baadae mara baada ya wahusika kutoa taarifa zaidi

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment