MA RASTA WANAPOKUTANA HUWA HIVI!!

Ma Rasta wakiongea mara baada ya kukutana katika mitaa ya Posta Jijini Dar es Salaam leo asubuhi, imani ya marasta imekuwa ikiwaunganisha kokote duniani na wanapokutana mara zote huzungumzia amani duniani kwa watu wote.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment