KUTANA NA CHUI MFALME WA RAHA KAMILI POPOTE UENDAPO!!

Meneja Uhusiano wa Serengeti Breweriers Limited Teddy Mapunda akizungumza na wageni mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi wa tangazo jipya la bia ya Serengeti na kampeni inayokwenda kwa jina la (Kutana na Chui mfalme wa raha kamili) Teddy amesema tangazo hilo limetengenezwa kwa viwango vya hali ya juu na watu walioshirikishwa kwenye tangazo hilo ni wenye uwezo wa kufanya mabo makubwa kama linavyoonekanaukilitazama kwenye luninga Tangazo hilo limeanza kurushwa jana katika vituo mbalimbali vya televisheni.
Hii ndiyo nembo mya ya chui aliyetumika kwenye tangazo la bia ya serengeti ambalo limezinduliwa jana kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam.
Kutoka kushoto ni Bakari kutoak Clouds Radio,Queen Sendiga afisa mwandamizi wa masoko SBL mkoa wa Dar es Salaam, Bahati Singh meneja matukio na promosheni SBL na Nandi Mwiyombela bidhaa wa Serengeti Breweriers.
Kocha Mkuu wa timu ya taifa Taifa Stars Marcio Maximo akizungumza katika uzinduzi huo Maximo ni mmoja wa watu walioshiriki katika kuigiza kwenye Tangazo hilo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Florence Turuka akizungumza katika uzinduzi huo.
Mwandishi kutoka Gazeti la The African Siddy Mgumia akifuatilia jambo katika uzinduzi huo.

Kutoka kulia ni Mgeni rasmi katibu mkuu Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Florence Turuka Kocha mkuu wa timu ya Taifa Taifa Stars Marcio Maximo na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo SBL Shantanu Chitgopkar.

wafanyakazi mbalimbali wa Serengeti Breweriers wakifuatilia kwa karibu wakati meneja uhusiano wa kampuni hiyo Teddy Mapunda alipokuwa akiongea.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi wa tangazo jipya la bia ya Serengeti lililozinduliwa jana kwenye Hoteli ya New Africa kushoto ni Bakari kutoka Clouds Fm Bahati Singh meneja matukio na promosheni wa SBL na Bakari Machumu Mhariri mtendaji kutoka gazeti la The Citizen.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. Huyo Bahati mbona ka ametoka bush juzi?! yanini kutuonyesha saa! ushamba sasa huo!

Post a Comment