KARIAKOO NA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI!!

Baadhi ya wakazi wa jiji, wakifanya manunuzi ya Futari,Soko la Kariakoo limeendelea kutoa huduma mbalimbali kwa wakazi wa jijini kupata mahitaji hasa wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu jana.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment