Blog yetu nzito ya michezo - VIWANJANI, Hebu tuwape shavu washkaji!!

Mambo yanasemaje? Mdau tunakufagilia ile mbaya. uko juu sana na blog yako....Ebwana hebu tupe shavu kwa wadau wako hapo.. tunayo blog yetu mpya ya viwanjani..Ni blog inayo zungumzia maswala YOTE yanahohusu kiwanja chochote kile unacho kijua wewe, vya mpira wa miguu, pete, wavu, bao, meza, viwanja vya kujirusha na washikaji, mambo yote yale ya kuburudisha jamii na michezo.. kila dakika habari zinarushwa kwa wakati muafaka.. tunawapigapicha wengi sana kila kona.. tumejidhatiti kikidhi matakwa ya watu wote watakao tembelea blog yetu (http://www.viwanjani.blogspot.com) Big up sana.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment