BIGBROTHER REVOLUTION NI BURUDANI NA MAPINDUZI YA KWELI!!

Meneja Msoko wa Multchoice Furaha Samalu akiongea na wageni waalikwa mbalimbali mara baada ya washiriki wa shindano la BigBrother Revolution kuingia katika jumba hilo jana ambapo DSTV walikuwa wakirusha moja kwa moja kutoka Afrika kusini katika Hoteli ya City Paradise Jijini Dar es Salaam, Hakuna mtanzania aliyetangazwa kuingia katika jumba hilo japokuwa mtanzania ambaye ni mwigizaji Steven Kanumba na wenzake ambao walikuwepo kwa ajili ya kupokea washiriki waliokuwa wakiingia katika jumba hilo Furaha Samalu aliwataka mashabiki mbalimbali kuendelea kuangalia shindano hilo kwani kuna mambo mengi ya kufurahisha yatakayokuwa akijitokeza kila siku na ndiyo maana mwaka huu shindano hili limepewa jina la BigBrother Revolution yaani (Mapinduzi) ambapo paka washiriki wote wanaingia jana kwenye jumba hilo hakukuwa na mwanamke hata mmoja aliyetangazwa kuingia katika kinyang'anyiro hicho.
Kutoka kushoto ni Meneja mkuu wa Grobal Publishels Abby Mrisha Meneja Masoko Multchoice Furaha Samalu na Murugenzi wa Magazeti ya michezo ya Champion Salh Ally wakipozi kwa picha.

Kutoka kulia ni mdau Franck Mgoyo,Terrel,Christine Mosha kutoka MTV na Fiderin Iranga.
Richard Shelukindo kulia na Grace kutoka Multchoice.
Wadau mbali mabli walikuwepo kutoka kulia ni Kabula kutoka TBL aliyeko kulia, kushoto ni Salome kutoka Gazeti la CITIZEN na Henry Mdimu kutoka Mwananchi.
Wageni waalikwa mbalimbali wakifanya michezo mbalimbali kabla ya kuanza kuonyesha matukio mbalimbali wakati washiriki wa BigBrother Revolution hawajaanza kuingia katika jumba hilo nchini Afrika Kusini jana katika Hoteli ya City Paradise jijini Dar.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

2 comments:

  1. Mambo
    Thanks for the pics na information lakini jitahidi kaka angu spelling naona kwako ni mgogoro!!

  2. Kaka angalia "spellings" katika maelezo ya picha, zinachanganya msomaji, badala ya "Levolution" nadhani ingekuwa "Revolution", "Grobal publishels" iwe "Global publishers".

    Ahsante.

Post a Comment