
Wachezaji wa Timu ya Sports Club Villa ya Uganda wakipata chakula usiku huu kwenye Mgahawa wa Hadees Posta jijini Dar es salaam, Timu hiyo ipo nchini tangu ilipowasili usiku wa kuamkia leo kwa mwaliko wa timu ya Simba ya jijini, kwa ajili ya mchezo kati ya timu hizo kwenye uwanja wa Uhuru katika kuadhimisha Tamasha la Simba, ambalo viongozi wa klabu hiyo wametanabaisha kuwa sasa litafanyika kila mwaka tarehe 8 Agosti, simba inatarajiwa kutambulisha wachezaji wake wapya na jezi watakazotumia katika michezo mbalimbali ya Ligi kuu ya Vodacom hapo kasho wakati itakapocheza kwa mara ya kwanza na timu hiyo kutoka uganda toka watangaze usajili wao wa 2009-2010.

Wakijichana usiku huu kwa chakula cha usiku.
1 comments:
blog hii inatia kinyaaaaaaa
Post a Comment