MKAZI WA MWANANYAMALA ABAMBA MAFUTA!!


MKAZI wa Mwananyamala mjini Dar es Salaam, Hassan Juma (31) janaalijishindia Full Tank kutoka katika droo ya Bamba Mafuta.Droo hiyo ilichezwa jana katika ofisi za Selcom zilizopo mjini Dar esSalaam na Ofisa Uhusiano Msaidizi wa New Habari (2006), Aziza Seif.Huyo anakuwa mshindi wa tatu wa droo hiyo iliyoanza Agosti 15 mwaka huuambapo washindi wawili wa mwanzo walitoka mikoa ya Mbeya na Iringa.

Akizungumza mara baada ya droo hiyo, mshindi huyo alisema yeye ni mkazi wamwananyamala na anafanya kazi za usafi wa mazingira katika maeneo yaPosta, Dar es Salaam.“Nimefurahi kushinda…niambieni nitapataje hayo mafuta sasa,” alisema kwafuraha mara baada ya kupigiwa simu kufahamishwa kuwa ameshinda.

Akizungumza mara baada ya droo hiyo, Aziza alisema mshindi mwingine wan neatapatikana Ijumaa wiki hii , ili kushiriki unapaswa kuandika neno Mafutana kulituma kwenda namba 15331 . Wakati huohuo, mshindi wa pili wa BambaMafuta, Gabriel Mwasaga wa Mbeya, jana alikabidhiwa full Tank lake mkoanihumo na mwakilishi wa New Habari, Felix Mwakyembe.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment