WENYE WATOTO AU WAHUSIKA WA HAWA WATOTO WAKO WAPI JAMANI?

Mdau Mac Temba katutumia hii picha anasema Hili kundi la watoto hapa kwenye taa za movenpick linazidi kuwa kubwa wahusika wako wapi hebu waamke na kufanya kitu maana siku yoyote wataanza kuiba kwenye magari kitu ambacho kitaleta usumbufu kwa wenye mali zao lakini pia kinaweza kuhatarisha maisha yao mara watakaposhambuliwa na wenye mali zao endapo watabainika au kukamatwa wakiiba.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment