Hayo yalisemwa na uongozi wa chuo baada ya wanafunzi hao ambao ni wasanii kuhitimu elimu yao waliyokuwa wakipata chuoni hapo takriban miaka mitatu wakifukuzia shahada ya kwanza ya sayansi ya Jamii nasi FULLSHANGWE tunawapongeza Wise Crew kwa hizo Nondooz mlizopata tunawatakia kila mafanikio katika maisha yenu ya kijamii na ya kimuziki pia.
Wasanii wa kundi la muziki wa kizazi kipya WISE CREW wamepongezwa!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment