TANGAZO LA WADAU WA DULLONET!!

Habari za kazi wanamtandao wenzangu. Kwanza tunapenda kuwaomba radhi kutokana na kutopatikana hewani kwa website yetu ya Dullonet hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Naomba kwa muda muweze kutupata katika link ya
www.habarinamatangazo.net mpaka hapo tutakaporekebisha tatizo hili lililotupata.
Tunaomba radhi kwa mara nyingine lakini kwa kupitia link hiyo mambo yataendelea kama kawaida.
Dullonet Daima.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment