Majambazi Yapora milioni 150 kwa kutumia mabomu ya kutupa!!

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kama unavyoona damu ikiwa imetaopakaa katika kaunta ya benki ya NMB Wilaya ya Temeke baada ya majambazi yenye mabomu kuvamia Benki hiyo na kurusha mabomu yaliyojeruhi watu 13 na mmoja kuuwawa ambapo hatimaye majambazi hayo yalipora kiasi cha shilingi Milioni 150 katika Benki hiyo, kwa mbinu hii ya Ujambazi kwakweli hali ni Tete wadau.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment