CITI BANK YAIKOESHA VODACOM TANZANIA MILIONI 90!!

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Dietlof Mare(kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa CITI Benki Naveed Riaz(kulia) wakibadilishana nyaraka za makubaliano ya mkopo baada ya CITI benki kuikopesha kampuni ya Vodacom kiasi cha dola za kimarekani milioni 90.katika makao makuu ya kampuni ya vodacom jijini.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Dietlof Mare kiasi cha dola za kimarekani milioni 90 na Citi benkire(kushoto) akisaini mkataba wa mkopo waliokopeshwa na CITI benki kiasi cha dola za kimarekani milioni 90.(kulia)Ofisa Mtendaji Mkuu wa Citi Benki Naveed Riaz.katika makao makuu ya vodacom jijini.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment