Mwenyekiti wa kamati maalum ya wapangaji wa shirika la Nyumba NHC Mzee Mujengi Gwao akizungumza mbele ya waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo wakati wapangaji hao walipoitisha mkutano kulalamikia Shirika hilo kupandisha kodi kuanzia mwezi Julai mwaka huu katikati ni mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo na mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christipher Mtikila na mwisho ni mjumbe mwingine bw. Fakhruddins Taibali.
WAPANGAJI WA NHC WALALAMIKIA SHIRIKA HILO KUONGEZA KODI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
hawa jamaa wapumbavu sana.Kama hawawezi wahame,waje uswahilini halafu sisi wa Uswahilini tutaenda kupanga huko wanakodai kodi ni kali.
Post a Comment