Wafanyakazi wa mbalimbali wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kitengo cha Corporate solutions wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima Chakuwama kilichoko Sinza jijin Dar es alaam jana katika kusherekea siku ya mtoto wa Africa wafanyakzi hao pamoja na watoto walikula cha mchakula kwa pamoja na kubadilishana mawazo mbalimbali na watoto hao.WAFANAKAZI WA VODACOM KITENGO CHA CORPORATE SOLUTIONS WALA MSOSI NA WATOTO YATIMA!!
Posted by
ADMIN
Wafanyakazi wa mbalimbali wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kitengo cha Corporate solutions wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima Chakuwama kilichoko Sinza jijin Dar es alaam jana katika kusherekea siku ya mtoto wa Africa wafanyakzi hao pamoja na watoto walikula cha mchakula kwa pamoja na kubadilishana mawazo mbalimbali na watoto hao.You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







0 comments:
Post a Comment