MDAU EDWIN TEMBA NA MY WIFE WAKE WAPATA BABY GIRL (SAMANTHA)!

Mdau Edwin Temba na My wife wake wametuletea Baby Girl (Samantha) aliyezaliwa jumamosi ya 13 Juni mwaka huu 2009 mama na mtoto wote wana afya njema Hongera sana Mdau Mac Temba, ila muhimu ni kujiandaa kumsomesha kijana wetu ili angalau alimu ya chini kabisa awe na digrii ya pili katika taaluma yoyote hapo utakuwa umemfanyia kitu kizuri katika maisha yake.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment