Makamanda wa FULLSHANGWE wakijimuvuzisha ndani ya magari maalumu ya Fire Brigade (Kikosi ca Zimamoto) wakati wa kuwahi tukio hilo la kuungua kwa Hoteli ya Paradise Resort mjini Bagamoyo leo ambayo imeteketea kabisa hivyo kusababisha hasara ya dolla za Kimarekani Milioni 10 na kufanya wafanyakazi 170 kukosa kazi mwenyekiti wa Paradise Hotel mzee Guled Abdallah amesema ni kweli wamepata hasara kubwa sana kutokana na moto huo lakini kinachowasikitisha zaidi ni kuwa wafanyakazi wao 170 na vibarua ambao jumla yake wanakadiriwa kufikia miambili na zaidi watakosa kazi lakini pia ametoa pole kwa majirani zao Hoteli ya Ocean Bay Resort ambayo pia imeteketea kwa moto huo chanzo cha moto inasemekana kilitokana na jiko la umeme na kusababisha shoti iliyosababisha moto kulipuka na kushika makuti ambayo yalikuwa yameezekwa katika majengo ya hoteli hiyo kwa picha zaidi na matukio shuka chini mdau uone tukio zima lilivyokuwa.
Wafanyakazi wakiranda bila kujua pa kwenda kana kwamba ni wakimbizi hii ndiyo hali halisi ilivyokuwa leo.
kama unavyoona mdau yamebaki magofu tu hivi vilikuwa ni vyumba vya hoteli hiyo.
Baadhi ya wageni ambao mizigo yao ilinusurika kuungua wakitoa katika baadhi ya vyumba tayari kwa kuondoka hotelini hapo ambapo pia kulikuwa wafanyakzi wapatao 70 wa Tanroads wakihudhuria semina ya siku tano iliyokuwa ndiyo imeanza tu leo.
Hili ni moja ya jengo lililokuwa na vyumba vya VIP likiwa limeteketea mpaka vyumbani kwakweli inasikitisha mdau
Hapa wakizima moto huo uliokuwa ukiwaka kwa kasi kubwa kutokana na upepo unaotokea Baharini ukizingatia kuwa hoteli hizo ziko ufukweni mwa bahari ya Hindi.
Wafanyakazi wa kikosi cha Zimamoto kutoka Dar es alaam wakijianda kwa kuanza zoezi la kuzima moto huo hata hivyo kutokana na umbali wa eneo la tukio asilimia kubwa ya majengo ya Hoteli hiyo yalikuwa tayari yameteketea.
Hapa Mahdi akijifuta machozo kwakweili ilikuwa ni simanzi kubwa kutokana na tukio hilo ambapo ndugu zake mbalimbali walionekana wakimpa pole huku wakibubujikwa na machazo.
Mkurugemzi wa Paradise Resort Badgamoyo akiwa amekaa kwenye kiti huku akitafakari uharibifu na hasara iliyotokea baada ya kuunguliwa na Hoteli yake hiyo inasadikiwa kuwa hasara iliyotokea kutokana na moto huo inafikia dola milioni kumi za kimarekani.
1 comments:
Two Somali owned 5 star hotels located at the historical town of Bagamoyo some 60km from Dara-Salaam the capital city of Tanganyika has turned to ashes on Monday.
“In fact my Hotel was among the leading deluxe hotels in the town of Bagamoyo, and there were 280 workers working in the hotel, and the cause of the fire is yet mysteries, but investigations are underway to detect out the cause of the fire, the fire was very ferocious, and has annihilated money worth 10 million U.S$, but the goodness is that it is registered in the insurance company, the fire swiftly spread to another hotel in the next building owned by a Somali man as well, and it has also completely destroyed it, this hotel of mine was built in the year 1997, everything happens in the will of God the almighty and this simply a building in the world and thanks to God to what has hppend we are Muslims we should come up with strong and unshakable faith to what ever we come across evil or good” said the Abdullahi Noor Gulled the owner of hotel Paradise in Tanganyika speaking to Somaliweyn correspondent in the town of Arusha in Tanganyika.
Since the last effective central government in Somalia collapsed in the year 1991 the Somalis have scattered in the entire of the world and East Africa is one of the places where they have occupied most, in Kenya for instance they have big hotels and shopping malls.
Post a Comment