BI.YOO BA SOO TEAK ATEMBELEA MAONYESHO YA WAMA!!

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kulia akiongozana na mgeni wake mke wa katibu mkuu wa umaja wa mataifa Bi. Yoo ba soo teak kwenda kutembelea maonyesho ya wajasiriamali yaliyoandaliwa na Tasisi ya WAMA inayoongozwa na Mama Salma Kikwete na kufanyika katika viwanja vya ofisi hizo.

Mke wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi Yoo ba soo teak akiangalia bidhaa mbalimbali zilizotengeneza na mjasiriamali Anna Mnzava katika maonyesho yaliyoandaliwa na Tasisi ya WAMA inayoongozwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete anayeonekana nyuma ya mgeni wake katika viwanja vya ofisi hiyo jijini leo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment