Promotion ya Zain, T-Marc Sikia Kengele

Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Tunu Kavishe kushoto akizungumza kwa simu na mmoja wa washindi wa promosheni ya Sikia Kengele inayoendeshwa na Tanzania Marketing and Communication (T-Marc) kwa kushirikiana na Zain, Dar es Salaam jana (Desemba 5, 2008). Zain ilitoa simu selula kwa washindi wanne na muda wa maongezi kwa washindi watano huku T-Marc ikitoa mshindi wa pikipiki ambao watakabidhiwa zawadi Desemba 12, mwaka huu. Kulia ni Meneja Masoko wa Selcom Gaming, Juma Mgori na Meneja Mawasiliano wa T-Marc, James Chialo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment