Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda akizungumza katika chakula cha jioni jana jioni kilichoandaliwa na Pride Tanzania mara baada ya semina ya Siku mbili kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempiski iliyokuwa ikijadili mambo mbalimbali juu ya kupunguza umasikini katika nchi za China na Tanzania semina hiyo i8liandaliwa kwa pamoja na Pride Tanzania na Kituocha kupunguza umasikini cha china IPRCC, kushoto ni Mr Lu Luquin, Mr Zhang Le na mama Simba.
MH WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIZUNGUMZA NA UJUMBE KUTOKA CHINA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment