Rose Mungai ambaye ni Mchumi na Mtakwimu wa Bara la Afrika kutoka Benki ya Dunia (kushoto) akizungumzia uzinduzi huo huku Thomas Danielewitz (kulia) ambaye ni afisa kutoa kitengo cha kuondoa umaskini na kukuza uchumi katika benki hiyo akisikiliza pamoja na wadau mbalimbali (hawapo pichani) waliohudhuria uzinduzi huo na kuchangia mada kuhusu tatizo la upatikanaji wa ajira kwa vijana barani Afrika wakati wa uzinduzi wa kitabu cha viashiria vya maendeleo barani Afrika kwa mwaka 2008/09 uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa kituo cha mafunzo ya maendeleo ya Dunia jijini Dar es Salaam.
Kitabu cha viashiria vya maendeleo barani Afrika chazinduliwa!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment