EAST AFRICAN MODEL SEARCH YAPATA WASHINDI WAKE!!

Mkurugenzi wa kampuni ya mavazi ya GKAT ya Uingereza Grolia Katatumba Malara akiongea mara baada ya washindi wa shindano hilo kupatikana katika ukumbi wa Diamond Jubilee mwishoni mwa wiki iliyopita.
washindi wa shindano East African Model Search DusabeNenette wa Rwanda, Grory Emson Tz, Namrata mMandania Tz, Rihama Mohamed TZ na Nelly Kamwelo Tz washindi watatu kati ya hao watakwenda kwenye shindano kubwa la dunia litaklofanyika Ugiriki na mmjoa amepata nafasi ya kwenda Italia kwa ajili ya kuonyesha mitindo shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Diamond Jubilee.




Mdau wa mitindo Hapiness Magese kushoto alikuwepo pia kwenye shindano la East Africa Model Search lililofanyika mwishoni mwa wiki Diamond Jubilee

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment