Mkurugenzi wa VISA 2 DANCE CONTEMPORARY DANCE FESTIVAL Aloyce Makonde ambaye ndiyo ameandaa Tamasha hilo litakaloanza hapa jijini kuanzia 22-24/10/2008 katika ukumbi wa Diamond Jubilee wadau wote wa burudani mnakaribishwa kujionea utamaduni wa nchi tofauti katika tamasha hilo.
Karen Grssette Ofisa utamaduni wa nje katika Ubalozi wa Mrekani akimwonyesha Mwanaima Mrutu wa Mionzi Dance Thietre kipeperushi kinachoonyesha maneno yasemayo American Molden Dance mara baada ya mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Southern Sun jijini leo
Mkurugenzi wa VISA 2 DANCE CONTEMPORARY FESTIVAL Bw. Aloyce Makonde akizungumza na na waandishi wa habari juu ya maandalizi ya Tamasha hilo katika Hotel ya Southern Sun jijini leo 17/10/2008 kushoto ni Karen Grssette ofisa utamaduni wa nje Ubalozi wa Marekani, jumla ya nchi saba zitashiriki kwenye tamasha hilo ambazo ni Tanzania, Uganda, Kenya, Sweden, German, Italy, Nigeria na Marekani.
0 comments:
Post a Comment