TUPIGE VITA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA!!!


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Sophia Simba (katikati) na Mkurugenzi wa Mfuko wa Saratani ya Matiti, Angela Kuzilwa (kushoto) wakicheza ngoma na mnenguaji wa kikundi cha Ten Best cha Amana, wakati wa maandamano kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya waliothirika na saratani ya matiti Tanzania, Dar es Salaam jana. Kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa maandamano hayo yaliyoanzia Mnazi Mmoja hadi hospitali ya Ocean Road.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment