FILAMU YA RICHMOND YAJA
Ameongeza kuwa Stearing wa Filamu hiyo ni mwigizaji mwanadada Vivian anayejulikana kwa jina la uigizaji kama (Wastara),
Ameongeza kuwa waigizaji walioshiriki katika Filamu hiyo ni Lucy Komba (Luna),Frank Mhamed (Mwikongi) na mwingine anayejulikana kwa jina la uigizaji kama Sumaku, picha za filamu zimepigwa katika mikoa ya Dar es alaam na Arusha zikipigwa na mpigapicha Deo kutoka kampuni ya Dollwood ya jijini na itazinduliwa na kuingizwa sokoni mwezi wa kumi na moja, mashabiki na wapenzi wa filamu kote nchini kaeni mkao wa kula katika picha wanaoonekana ni Denis Sweya (Dino) kushoto na Deo wa Dollwood.





0 comments:
Post a Comment