Wadau kutoka ATC na GALILEO wakiwa katika maonyesho ya 34 ya biashara ya kimataifa Sabasaba kwenye banda la Wizara ya Maliasili kutoka kulia ni Dada Rehema, Hugo dada Mwanamvua Ngocho, dada Sophia Shuma na dada Rehema Issa kutoka Galileo wanaojishughulisha uwakala wa kuuza tiketi za ndege ATC wakipozi kwa picha wakati blogu ya FULLSHANGWE ilipowatembelea katika banda lao.
WATEMBELEE ATC NA GALILEO KATIKA BANDA LA MALIASILI UONE MAMBO MAKUBWA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
John, hivi ATC bado inaruka? Mimi nasafiri mara kwa mara kutokana na kazi yangu kati ya Dar na Arusha. Mara ya mwisho, mwezi wa tano mwishoni, nilikwenda ATC nikaambiwa hakuna ndege. Mwezi mmoja kabla ya hapo nikaambiwa kuna ndege moja kwa wiki lakini inapitia Mwanza. Kwa hivyo kazini wengi wetu tumekuwa tukitumia Precision Air. Naomba nielimishwe inakuwaje hizo ticket zinauzwa wakati kila ukenda ofisi za ATC unakuta kuna tatizo?

Post a Comment