Baada ya mwezi mzima kutazama soka Ijumaa july 9 ikiwa ni mapumziko ya mechi za world cup, vyema tukajumuika pamoja Tcc Club Changombe jijini Dar es salaam katika Miss Temeke iliyosheheni vimwana kama mnavyowaona katika picha hii wadau.
Katika shindano hilo linalotarajiwa kuwa na kuvutia kuna burudani za kukata na shoka hivi sasa warembo hao wanaendlea na kambi yao katika klabu ya Tcc Changombe katika kujiweka sawa kwa ajili ya shindano hilo.
0 comments:
Post a Comment