Hoyce Temu akiwa amembeba mtoto wake Ruby Nyumbani kwake Mikocheni, Jana nilikwenda kumtembelea rafiki yangu, dada yangu Hoyce Temu ili kumjulia hali na kumpa hongera kwa kujifungua mtoto wake wa kwanza wa kike Ruby nilifurahi kumuona nikamwambia dada Hongera sana!
Hoyce Anasema anamshukuru mungu kwa kumjalia kupata mtoto wa kike kwani anasema alikuwa anapenda sana kupata mtoto wa kike sasa amempata Ruby Hongera sana dada. FULLSHANGWE tunawakutakia afya njema mama na mtoto hongereni!!
2 comments:
wow!! katoto kacute!!
hongera sana hoyce,msalimie loveness mamuya namuona hapo pemben
Post a Comment