Mkurugenzi wa Uhusiano wa Vodacom Tanzania na Mfuko wa kusaidia jamii Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba, akiwasisitiza jambo baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Mtimbwani, iliyoko Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga, ambapo Mfuko wa Vodacom Tanzania ulikabidhi madarasa mawili yenye thamani ya Shilingi Milioni 22 kwa Shule ya Sekondari hiyo . Mfuko huo ulijenga madarasa hayo ikiwa ni sehemu ya programu yake ya kukuza kiwango cha elimu nchini Makabidhiano haya madarasa yalifanyika mwishoni mwa wiki.
Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga Rachel Chuwa wa pili toka kulia,Mkurugenzi wa Uhusiano wa Vodacom Tanzania na Mfuko wa kusaidia Jamii Vodacom Foundation Mwamvita Makamba (kushoto)Kaimu Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya kaskazini Mbuvu Kamando wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa kutumia madarasa mawili yenye thamani ya Shilingi Milioni 22 kwa Shule ya Sekondari ya Mtimbwani Mkoani Tanga . Mfuko huo ulijenga madarasa hayo ikiwa ni sehemu ya programu yake ya kukuza kiwango cha elimu nchini Makabidhiano haya madarasa yalifanyika mwishoni mwa wiki.

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Vodacom Tanzania na Mfuko wa kusaidia jamii Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba, akifurahia jambo na wanafunzi wa shule ya Sekondari Mtimbwani, iliyoko Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga, Mfuko wa Vodacom Tanzania ulikabidhi madarasa mawili yenye thamani ya Shilingi Milioni 22 kwa Shule ya Sekondari hiyo . Mfuko huo ulijenga madarasa hayo ikiwa ni sehemu ya programu yake ya kukuza kiwango cha elimu nchini Makabidhiano haya madarasa yalifanyika mwishoni mwa wiki.
0 comments:
Post a Comment