WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA MKUU WA WILAYA MPANDA!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia ) wakipata maelezo kutoka kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa ,Isuto Damian Mantage wakati alipoweka jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi cha wilaya ya Mpanda akiwa katika ziara ya wilaya hiyo, May 17, 2910. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la msingi la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mpanda akiwa kaika ziara ya wilaya hiyo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na MkeweTunu (kushoto) wakikagua ujezi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya Mpanda wakiwa katika ziara ya wilaya hiyo



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment