Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Nector P.Foya akiongea na waandishi wa habari juu ya udhamini wa Kampuni yake katika mbio za Dar Comrades Half Marathon 2010 na namna ya kujiandikisha katika kushiriki mbio hizo unajiandikisha katika maduka ya Vodacom yaliyopo Mlimani City,Ohio,Samora Avenue mbio hizi zitafanyika jijini Dares salaam Tarehe 29 Mwezi huu ,kwa dhumni la kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto wenye utindio wa ubongo,na wenye matatizo ya macho CCBRT,(kushoto)Mwandaaji wa mbio hizo toka Regent Tanzania Limited(SATZ)Paddy Hoon, kulia ni Meneja Masoko wa Pepsi Rashid Chenja ambao ni wadhamini wenza.
Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari juu ya mbio za Dar Comrades Half Marathon 2010 zitakazofanyika jijini Dares salaam Tarehe 29 Mwezi huu ,kwa dhumni la kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto wenye utindio wa ubongo,na wenye matatizo ya macho CCBRT,(katikati)Mwandaaji wa mbio hizo toka Regent Tanzania Limited(SATZ)Paddy Hoon, kulia ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Nector P.Foya
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa maandalizi ya mbio za Dar Comrades Half Marathon 2010 zitakazofanyika jijini Dares salaam Tarehe 29 Mwezi huu ,kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto wenye utindio wa ubongo,na wenye matatizo ya macho CCBRT. Kujiandikisha katika kushiriki mbio hizo unajiandikisha katika maduka ya Vodacom yaliyopo Mlimani City,Ohio,Samora Avenue.
0 comments:
Post a Comment