USHIRIKIANO WA NCHI ZA BONDE LA MTO NILE!!

Waziri wa Maji na Umwagiliaji nchini Prof. Mark Mwandosya (kulia) leo jijini ametoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu ushirikiano wa nchi za Bonde la Mto Nile.ambapo amelezea lengo lake ni ukusanyaji wa Takwimu za mizania ya rasilimali za maji katika eneo la nchi za maziwa makuu., nchi kumi zinajumuisha BONDE la Mto Nile ni Burundi,Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo,Egypt, Eritrea, Ethiopia,Kenya, Rwanda, Sudan,Tanzania na Uganda.Picha zote na mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment