HONGERA DADA HOYCE (MAMA RUBY)KWA KUPATA MTOTO MZURI!!

Hoyce Temu akiwa amembeba mtoto wake Ruby Nyumbani kwake Mikocheni, Jana nilikwenda kumtembelea rafiki yangu, dada yangu Hoyce Temu ili kumjulia hali na kumpa hongera kwa kujifungua mtoto wake wa kwanza wa kike Ruby nilifurahi kumuona nikamwambia dada Hongera sana!
Hoyce Anasema anamshukuru mungu kwa kumjalia kupata mtoto wa kike kwani anasema alikuwa anapenda sana kupata mtoto wa kike sasa amempata Ruby Hongera sana dada. FULLSHANGWE tunawakutakia afya njema mama na mtoto hongereni!!
Baby Girl Ruby katika pozi la usingizi.
Hoyce Temu au mama Ruby akiwapa stori marafiki zake walipokwenda kumjulia hali na kumuona mtoto wake wa kwanza Ruby.
Rachel Temu ambaye ni mdogom wake na Hoyce Temu akiwa amemshika mtoto Ruby

Rachel akimfurahia mtoto Ruby ilikuwa ni furaha tu.
Rafiki zake na Hoyce Temu wakiwa nyumbani kwake walipokwenda kumuona mtoto Ruby.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

2 comments:

  1. wow!! katoto kacute!!

  2. hongera sana hoyce,msalimie loveness mamuya namuona hapo pemben

Post a Comment