BONGO STAR SEARCH WATANGAZA ZAWADI!!
Posted by
ADMIN
0
comments
Thursday, October 8, 2009
Rais Kakaya akutana na Mary Robinson na kuendesha kikao cha Baraza la Mawaziri ikulu jijini Dar es Salaam
Posted by
ADMIN
Rais Kikwete asherekea Siku ya kuzaliwa kwake!!
Posted by
ADMIN
MISS UTALII TANZANIA 2009 KUMEKUCHA MIKOA, WILAYA KATIKA HEKAHEKA!!
Posted by
ADMIN
Na shaaban MpaluleMawakala wa Mikoa na Wilaya Miss Utalii Tanzania 2009 wametangaza ratiba ya Mashindano ya Miss Utalii katika maeneo mbalimbali ikiwa ni katika kuelekea Fainal za Taifa zilizopangwa kufanyika mwezi Disemba mwaka huu, Katika ratiba hiyo ni mikoa michache tu ambayo haikuweza kuwasilisha tarehe ya mashindano ambapo mawakala wa Wilaya wametakiwa kuwa wamekamilisha zoezi hilo kabla ya tarehe 15 mwezi wa 11 ili kutoa nafasi kwa Waandajii wa Kanda ambao wanatakiwa kukamilisha zoezi hilo kabla ya Disemba 1 mwaka huu.
Kwa Upande wa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam Ilala wao watashindana tarehe 30 katika Ukumbi wa Da’ West Tabata mwezi huu, Kinondoni watashindana tarehe 7, mwezi wa 11 katika Ukumbi wa New Msasani Klabu, na washindi wa Wilaya zote za Dar es Salaam watashindana tarehe 21 mwezi wa 11.Mkoa wa Kilimanjaro wao watashindana tarehe 31 mwezi huu, wakati Mkoa wa Iringa wenyewe wamepanga kushindana tarehe 6 mwezi wa 11, na Kagera Wenyewe wamepanga kushindana tarehe 13 mwezi wa 11, wakati Mtwara wanatarajia kumenyana tarehe 20 mwezi wa 11.
Akizungumzia shindano hilo Rais wa Miss Utalii Tanzania Gideon Chipungahelo alisema kuwa Mikoa mingine bado wanaendelea na mikakati ya kufanikisha shindano hilo lakini hata baadhi ya Mikoa tayari wamekwisha kamilisha zoezi hilo .Aidha Chipungahelo aliwataka baadhi ya Warembo kujitokeza katika Mikoa yao kushirikin Shindano hilio ambalo kwa mwaka huu limeonyesha kuwa na mafanikio makubwa ikilinganishwa na miaka ya nyuma.“nchi yetu tunao warembo wengi wenye sifa nyingi za kushiriki, lakini wanashindwa kujitokeza, isipokuwa nachukua fulsa hii kuwatangazia kwamba, wakatin umefika wa wao kujitoa ili kuhakikisha wanaipeperusha bendera ya nchi yao, wasikae tu majumbani wakati wao wanastaili kuwa mabalozi wema katika kuutangaza utalii wan chi, na kwa kuwa bado nafasi zipo, wajitokeze ili waweze kushiriki, kwani hii ndiyo nafasi kwao, “alisema Chips
0
comments
Wednesday, October 7, 2009
WAZIRI MWANDOSYA ASEMA HAKUNA SUMU CHANZO CHA MAJI RUVU JUU!!
Posted by
ADMIN
Waziri Marck Mwandosya amesema wakazi wa jiji la Dar es salaam wasiwe na wasiwasi wowote bali waendelee kutumia maji hayo kwa ni uchunguzi wa kina umefanyika na kugundua kwamba hakuna sumu yoyote ambayo imepatikana katika chanzo cha mtambo wa Ruvu juu ambako ndiyo husukuma maji kuja katika jiji la Dar es salaam kwa matumizi ya wakazi wa jiji.
Amesema eneo ambalo tukio hilo lilitokea ni sehemu iitwayo Kwala katika Wilaya ya Morogoro Kusini lilitiwa sumu kwa lengo la kuvua samaki na wavuvi haramu ni kilomita sabini mpaka kufikia kwenye chanzo cha mtambo wa Ruvu Juu, hivyo hakuna wasiwasi wowote wa kuwepo kwa sumu hiyo na mpaka sasa Sampuli ya maji iko kwa mkemia mkuu ili kubaini kama kuna tatizo lolote pamoja na kwamba uchunguzi wa awali umeonyesha hakuna aina yoyote ya sumu katika maji hayo, wanaofuatia kwenye picha ni Kaimu katibu mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Damas Shirima na mwisho ni Mkurugezi wa Idara ya Habari Maelezo Clement Mshana.
IBUA FILM STAR WAMWAGA SERA YA KUIBUA VIPAJI VYA WAIGIZAJI NCHINI!!
Posted by
ADMIN
Sesilo amesema mchakato rasmi wa kutafuta vipaji hivyo unaanzia katika mikoa ya Dodoma, Arusha, Mbeya, Zanzibar, Mwanza na Dar es salaam, ameongeza kuwa vigezo vya washiriki vitakuwa ni miaka 16 na kuendelea lakini pia washiriki wawe na akili timamu, wawe pia wanaweza kusoma na kuandika
Mshindi wa IBUA Film Star Tanzania atajinyakulia zawadi nono ambayo itatangazwa hapo baadae, fomu za kushiriki kwenye shindano hilo zinapatikana mikoa husika ambayo ni Arusha Club Silk, Mwanza Salma Cone, Mbeya CPMTL Stationary mkabala na ofisi ya mkuu wa mkoa, Dodom Zunny Ice cream Parlour,Zanzibar ofisi za Zenj FM, Dar es salaam TCC Chang'ombe, Shear Illusions Mlimani City Royal Saloon Sinza, Zizzou Fashion Sinza na fomu hizo zitaanza kupatikana oktoba 10 mpaka novemba 1
Katika shindano hilo watatafutwa washiriki 50 na kuwekwa kambini ambapo watachujwa na majaji na kubakia washinriki 20 ambao watatengeneza filamu kwa pamoja na waigizaji wazoefu kutoka YEC Productuions wengine wanaofuatia katika picha ni Adam Selemani Swebe meneja Uzalishaji, Jaquline Wolper balozi wa IBUA FILM STAR na Jennifer Mwaipaja Balozi wa IBUA FILM STAR.
HANDSAME ALLY JUMA AKAMATWA AKIIBA PIKIPIKI JENGO LA IPS!!
Posted by
ADMIN
WADAU WAKITETA HIVI KARIBUNI JIJINI!!
Posted by
ADMIN
KAMISHNA WA FORODHA NA USHURU AKUTANA NA MAWAKALA WA KODI JIJINI LEO!!
Posted by
ADMIN
M-Net's Big Brother Revolution!!
Posted by
ADMIN
Day 28 on M-Net’s Big Brother was all action on the Sunday show with three evictions, the exit of Face of Africa 2008 and celebrity guest Kate Menson and the housemates being paired up in color coordinated T-shirts to play the game together. Tune in to Big Brother Revolution on DStv channel 198 or 199 for more entertainment 24/7 live. For more information log on to www.mnetafrica.com/bigbrother.
0
comments
Tuesday, October 6, 2009
UZINDUZI WA KIPINDI CHA TELEVISHENI CHA MAYROSE TALK SHOW!!
Posted by
ADMIN
Shirika la Wadhamini la Huduma za Maendeleo ya Jamii (RTCDS) linawaarifu kuwa tarehe 9 Oktoba,2009 siku ya Ijumaa kutakuwa na Uzinduzi wa kipindi cha Mayrose TV Talk Show katika viwanja vya Sabasaba Ukumbi wa PTA kuanzia saa 7.30 mchana hadi saa 11jioni.
Madhumuni ya kipindi cha Mayrose Talk Show ni kutoa elimu juu ya mambo ya kijamii, maisha ya kila siku na maendeleo kwa ujumla. Kipindi kinalenga zaidi mtu mmoja mmoja kwa minajili ya kuwasaidia vijana waweze kukabiliana na umasikini.
Mada itakayojadiliwa siku ya uzinduzi inasema:- “ Ni vipi mtu anaweza kupata elimu bora?”
Watu mbalimbali mashuhuri wameshiriki katika maandalizi ya kipindi chetu kwa kutoa mawazo yao. Baadhi yao ni Prof. Palamagamba J. Kabudi (Kiuweledi ni Mwanahabari na Mwanasheria pia ni Mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es salaam); Ndg. Ibony Moalim ( Meneja Uchapishaji Blackmark Corporations); Ndg. Guido Msita( Mkurugenzi Mtendaji Blackmark Corporations); Dr. Adolf Mihanjo (Mwanafalsafa na Mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es salaam); Ndg. Isaac Mruma; Ndg. Damas Mfugale ( Mkurugenzi Mtendaji- Peacock Hotels); Eng. Edward Ngowi; Ndg. Protas Mwageni; Ndg. Ongito Hodari ( Mkuu wa Maktaba Chuo cha Usimamizi wa Fedha) Dr. Ali Mcharazo ( Mkuu wa Maktaba Tanzania); Kanali Mstaafu Idd Kipingu; Ndg. Ghonche Materego ( Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa la Taifa); Aliyekuwa Kaimu Mufti Hayati Sheikh Suleimani Gorogosi; Askofu Methodius Kilaini; Mwl. Charles Shilindi (Mkuu St. Emmanuel High School );Ndg. Geofrey Tengeneza (Afisa Uhusiano Mwandamizi – Bodi ya Utalii); Ndg. Emmanuel Likuda (Mratibu Entertainment Masters). Ni wengi sana tuliowashirikisha siwezi kuwataja wote..
Siku ya uzinduzi tutakuwa na baadhi yao, pamoja na wengine watakaokuwepo ni Ndg. Eric Shigongo (Mjasiriamali maarufu na mmiliki wa vyombo vya habari vya Global Publications); Ndg. Mrisho Mpoto ( Msanii maarufu) na wengine wengi kutoka Vyuoni, shule mbalimbali, mashirika yasiyo ya kiserikali na mashirika ya umma pamoja na watu mbalimbali.
Elimu ni ufunguo wa maisha, bila elimu maisha hayaendi vizuri. Tunahitaji elimu bora ili tuweze kujikwamua na Umasikini tulionao Watanzania.
Hata vitabu vitakatifu vinaeleza umuhmu wa elimu kwa wanadamu. Kwa mfano tukiangalia katika Biblia Takatifu kwenye kitabu cha Mithali ya Sulemani kimesisitiza umuhimu wa elimu huku kikisema elimu ni Uzima wa mtu…
Vile vile katika Quran Tukufu katika Surrat Iqraa Bismirabika imeeleza juu ya elimu.
Kwa mantiki hiyo tunasisitiza wengi mfike kupata elimu itakayotolewa siku ya Ijumaa tarehe tisa pale PTA Sabasaba. Inawezekana wengine wakasema mbona PTA ni mbali na makazi yao? Naomba wakumbuke maneno matakatifu juu ya elimu. Hasa ndani ya quran tukufu imeeleza bayana kuwa: “Uifuate elimu hata mpaka Uchina”
Mada itakayojadiliwa ni muhimu sana hakikisha umeshiriki kwa kufika
Kwa kuzingatia mchango wa Baba wa Taifa tumeamua kuzindua kipindi katika mwezi huu wa Oktoba ambao ni wa kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa.
Suala la elimu bora limepewa kipau mbele kwa kuzindua kipindi hiki kwani kwa kutumia Elimu Bora tutaweza kupambana na Adui watatu ambao waliainishwa na hayati Baba wa Taifa (Umasikini, Maradhi na Ujinga). Katika kumuenzi Mwl. Julius K. Nyerere tunaalikwa wote kushiriki mada hii kwa kufika ukumbi wa PTA viwanja vya sabasaba na kwa walio nje ya Dar es salaam waangalie Star Tv kuanzia saa 9 alasiri siku hiyo na wachangie mada kwa kupiga simu namba itakayotolewa siku hiyo..
.
Ndugu Watanzania wenzangu, tukijua namna ya kupata elimu bora tutakuwa tumepata njia mbadala ya kufikia mipango ya maendeleo yetu.
Pamoja na Mada ya Elimu Bora itakayotolewa siku ya uzinduzi kutakuwa na burudani mbalimbali. Hakuna Kiingilio. Kipindi kitarushwa moja kwa moja kupitia Star TV. Tunaomba watu wafike kwa muda uliopangwa.
Baada ya siku ya uzinduzi kipindi cha Mayrose Tv Talk Show kitaendelea kuonekana Star Tv kila siku ya Jumapili saa 8 hadi saa 9 mchana. Fuatilia ili upate ufumbuzi wa mambo mbalimbali juu ya maisha . Mada zitakazofuata baada ya Elimu Bora ni pamoja na;-
Namna gani utaweza kutambua kipaji chako na kukifanya kikupe faida
Ni vipi utapata ajira
Ni vipi utapata nguvu na uwezo wa kupata unachotamani?
Nidhamu inachangia vipi maendeleo yako?
Ufanye nini ili uheshimike?
Imani inasaidia vipi kuleta maendeleo yako?
Ni vipi watanzania tutaweza kujiamini na kujitegemea.
Hizi ndizo mada za awali zilizoandaliwa kwa uchunguzi wa kina ili kumkomboa Mtanzania. Mada zingine zitaandaliwa kulingana na mahitaji ya wafuatiliaji wa kipindi chetu
Kwa namna ya pekee tunawashukuru wadhamini wa uzinduzi huu ambao ni Vayle Springs; Sayona Drinks; iPrint; Delfina Promotions Limited; na Star Tv kwa kukubali kurusha kipindi chetu. Tunatarajia wadhamini zaidi kwani kipindi hiki ni cha kila wiki.
Pamoja na kipindi hiki cha kila wiki Shirika la Huduma za Maendeleo ya Jamii linatoa Ushauri kuhusu mambo mbalimbali yanayokwamisha maendeleo. Kwa lolote unaloona ni kikwazo kwako njoo upate maelekezo ili ufikie malengo yako.
Huduma ya ushauri inatolewa kila siku ya Jumatatu na Ijumaa katika Ofisi zetu zilizopo Sido Makao Makuu Upanga – Inapakana na Shule ya Sekondari Aghakan Mzizima.
Wote mnakaribishwa.
Mayrose Kavura Majinge
Mwenyekiti Mtendaji,
The Registered Trustees of The Community Development Services.
P.O Box 7878,Dar es salaam
Email: mayrosedtalk@yahoo.com
Mob: 0655 376320/ 0754376320

2010 World Cup qualifying treat on SuperSport!
Posted by
ADMIN
October 2009
SuperSport will broadcast over 20 World Cup qualifying matches in the next week, highlighted by Saturday’s vital Mozambique-Nigeria match, Argentina’s desperate race to make it to South Africa in 2010 and the Russian-German crunch game.
Nigeria must beat Mozambique in Abuja on Saturday to have any hope of reaching their first finals since 2002. Anything but victory, coupled with an expected triumph for Tunisia over Kenya in Rades, and the Super Eagles will miss out on their second finals in succession.
Saturday’s other big match sees Germany face a daunting trip to Moscow. The Germans currently lead qualifying Group 4 by one point from Guus Hiddink's side and a win at the Luzhniki Stadium will see them confirm their place in South Africa. Defeat and they will almost certainly have to steer through the lottery of the play-offs, where the likes of Portugal, Greece and France could await.
The Portuguese have some work to do in Group 1 to reach those play-offs, however, starting with a desperately needed win over Hungary in Lisbon. They will also be hoping Denmark will beat second-placed Sweden, which will seal the Danes spot at the World Cup, but leave the Portuguese favourites to finish as runners-up.
It is do-or-die time for Argentina when they host Peru in Buenos Aires on Saturday. Diego Maradona's struggling stars currently occupy fifth-place in South American qualifying. Should they remain there, this would mean a play-off against the fourth-placed side in the North, Central America and Caribbean region.
However, the problem for the Argentines is the form of the sides just behind them, with Uruguay, Venezuela and Colombia all within two points. Any slip-ups at home to minnows Peru and it will in all likelihood be tickets for Maradona and his South African dream.
Still in South America, Ecuador can book a third-successive appearance at the World Cup finals if they beat Uruguay at home and Argentina fail to get full points from Peru. Sixto Vizuete's side started qualifying in horrific fashion with a 1-0 home loss to Venezuela, a 5-0 hammering from Brazil and another 5-1 thumping from Paraguay, but have arguably been one of the form sides since then, losing just once in 13 matches and completing one of the great achievements in football, beating Bolivia in the altitude of La Paz.
Football fans can tune into SuperSport for all the action and go to http://www.supersport.com/ for additional highlights and information. Audiences can also press the OK button for updates and fixtures.

JIPATIE TOVUTI BURE KABISA!
Posted by
ADMIN
Pole na kazi ya kuelimisha na kuburudisha jamii yetu.Tumekuja na huduma mpya ya BURE kwa watanzania tu tunaomba uwafahamishe.Kuzingatia umuhimu wa kuwa na tovuti, na ya kwamba ni gharama sana hapa TZkupata tovuti, na tena watu wanafanya biashara rasmi kwa barua pepe zabure kama yahuu na giimeili, hii yote inaonesha ukosefu au gharama kubwaya kupata tovuti.Sisi tumedhamiria kubadili uelekeo mzima wa upepo, na tumepata wasamariawema na sasa rasmi tumefanikiwa kuleta ufumbuzi na neema kwa waTZ kwasuala la tovuti na anuani rasmi za barua pepe.Na sasa kwa awamu ya kwanza kwa kuanzia tu, WATU 100 WATATENGENEZEWATOVUTI BURE. Watu 100 kwa maana ya mtu binafsi, kampuni, biashara,shirika, asasi zisizochukua faida (NGO), kikundi, duka, mjasiriamali,saluni, shule ama Saccos n.k. BASI KILA ALIYEDHAMIRIA KUWA NAWEBSITE/TOVUTI ajiunge na utaratibu huu wetu atengenezewe TOVUTI MOJA BUREKABISA.TOVUTI HII YA BURE itamfanya mhusika aweze kupata anuani rasmi za baruapepe, yaani kama yeye ni Mwanahawa wa Vinyago Suppliers anatengenezewaanuani zake za barua pepe mfano mwanahawa@vinyagosuppliers.co.tz n.kkadiri ya atakavyo, nyingi apendavyo. Ataimiliki tovuti na kuiendeshayeye.Kumbuka kwa awamu hii ya kwanza TUNATOA BURE TOVUTI 100 TU kisha awamu yapili tutatangaza tena. Hebu fikiria kwa mkupuo tukipata tovuti 100 kwamaana ya kwamba tunakuwa na kurasa mia moja zinazoelezeawatu/kampuni/vikundi mbalimbali na shughuli zao hapa Tanzania, hii nihatua kubwa sana na inaongeza maingizo ya utafutaji wa vitu toka Tanzania
katika search engines na tunasogea mbele taratiibu.Hakuna vigezo vya kupata huduma hii ya bure, na tutahudumia kwa mujibu waFIFO (first in first serve/out) wa kwanza kuja, wakwanzakutoka/kuhudumiwa. Maelezo na ufafanuzi zaidi tafadhali tembeleahttp://www.tovutiyangu.com ujisomee huduma hii kwa undani. Zipo pia hudumana bidhaa mbalimbali kwa walio na tovuti tayari.Ahsante sana.Admin,tovutibure (at) tovutiyangu.comhttp://www.tovutiyangu.com

Endeavour Insurance Tanzania Limited!!
Posted by
ADMIN
We are an ambitious, dynamic and highly competitive insurance brokerage. Our job is to make sure that our clients have the personal and corporate confidence necessary to succeed in today's vibrant business markets. So, not surprisingly, client focus is at the core of our impressive growth. It's made possible by our very distinct way of working: Our job doesn’t begin and end by matching our clients to insurers. We represent their interests throughout. This ensures that we get them the best possible results from insurers.Please visit our website to view our products and services: www.endeavourtz.comIf you would like to contact us, please feel free to use the contact details below:Endeavour Insurance Consultants LimitedCity House, 1st Floor, Mkwepu Street P.O. Box 1615, Dar-es-Salaam, Tanzania.Tel/Fax: +255 (22)124 853Cell: +255 (75)494 4792E-Mail: info@endeavourtz.comRais Kikwete alipojiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Viongozi ngazi ya Mtaa!!
Posted by
ADMIN
0
comments
Monday, October 5, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)