Kijana Juma Ally akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa polisi mara baada ya kukamatwa akiiba pikipiki yenye namab za usajiri T 941 ASD iliyokuwa imeegeshwa katika jengo la IPS mchana huu ambapo alitumia bisibisi kuiwasha pikipiki hiyo , hata hivyo kabla ya kuondoka walinzi wa jengo hilo walimshtukia, wakamata na kumuweka chini ya ulinzi kisha wakatoa taarifa katika kituo cha polisi kati.
Mmiliki wa pikipiki yenye namba za usajiri T 941 ASD hakufahamika mara moja jina lake akiwaambia polisi kwamba kachero aliyembeba kwenye pikipiki yake hana Kofia maalum ya kuzuia kuumia (Element) wakati walipokuwa wakielekea kituo cha polisi kati kwa mahojiano na hatua zaidi zitakazochukuliwa dhidi ya mwizi wa pikipiki yake.
0 comments:
Post a Comment